0
Wapinzani watoa sababu za kususa na kutoshiriki sherehe za miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar Wapinzani watoa sababu za kususa na kutoshiriki sherehe za miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani wametoa sababu zilizowafanya wasihudhurie sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa...

Read more »

0
Basi la Sumry (Kigoma-Dar) laua watu 14 papo hapo usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ikungi mkoani Singida Basi la Sumry (Kigoma-Dar) laua watu 14 papo hapo usiku wa kuamkia leo maeneo ya Ikungi mkoani Singida

WATU 13 aiwemo askari wa kikosi cha usalama barabarani wamepoteza maisha baada ya kugongwa na basi la kampuni ya Sumry lililokuwa li...

Read more »

0
Kwa wanaotafuta wachumba na marafiki kazi kwenu sasa hawa hapa ...... Kwa wanaotafuta wachumba na marafiki kazi kwenu sasa hawa hapa ......

Tunaomba radhi kwa wadau wetu wote wa safu hii kwa kukaa mda mrefu bila kuweka maombi yao, na hii ni kutokana na matatizo yaliyokuwa juu ya ...

Read more »

0
DIAMOND NA WEMA KUHAMIA MTWARA DIAMOND NA WEMA KUHAMIA MTWARA

Wema Sepetu na Diamond Platnumz.  Wakazi wa kusini mwa Tanzania yaani mkoa wa Mtwara wametakiwa kukaa mkao wa kula burudani ya nguvu ya...

Read more »

0
“Sikuwahi kumtongoza Wema na mwanaume anayemtongoza hana kazi maana Wema anajipeleka mwenyewe…” Chalz Baba “Sikuwahi kumtongoza Wema na mwanaume anayemtongoza hana kazi maana Wema anajipeleka mwenyewe…” Chalz Baba

Rais wa Mashujaa Band, Charles Gabriel aka Chalz Baba ameibuka baada ya kuulizwa swali na mwandishi wetu kuhusu ni nani alianza kumtongo...

Read more »

0
FANYA YAFUATAYO KURUDISHA UPENDO ULIOPOTEA KWA MKEO FANYA YAFUATAYO KURUDISHA UPENDO ULIOPOTEA KWA MKEO

Inawezekana hili lisiwe geni, lakini si vibaya kukumbushana.Fanya yafuatayo kurudisha upendo uliopotea kwa mkeo: 1.Jaribu kuwahi...

Read more »

0
MTOTO WA KAJALA AUMIZWA NA UGOMVI WA MAMA YAKE NA WEMA SEPETU MTOTO WA KAJALA AUMIZWA NA UGOMVI WA MAMA YAKE NA WEMA SEPETU

Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi h...

Read more »

0
 New audio:- Real Jofu - Stelah New audio:- Real Jofu - Stelah

  1. Bofya Hapa Ku-download   2. Bofya hapa kudownload vockar

Read more »

0
Picha mbalimbali za Ajali ya basi la Urio iliyotokea jana jioni mkoani Kilimanjaro Picha mbalimbali za Ajali ya basi la Urio iliyotokea jana jioni mkoani Kilimanjaro

Basi aina ya Urio yenye namba za usajili T 137 BCX inayofanya safari zake moshi kuelekea leguruki mkoani Arusha jana jioni  limepind...

Read more »

0
"Muda wa kuvaa nusu uchi umepita, Wasanii tunapaswa tubadilike"...Batuli "Muda wa kuvaa nusu uchi umepita, Wasanii tunapaswa tubadilike"...Batuli

  Mwigizaji  mwenye mvuto Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amewataka wasanii wenzake wabadilike na kuvaa kama yeye kwani muda wa kuvaa n...

Read more »

0
Msichana aliyepigwa na Chidi Benz alijeruhiwa vibaya usoni na kichwani, amekuwa akizimia mara kwa mara - Video: | Hisia za Mwananchi Msichana aliyepigwa na Chidi Benz alijeruhiwa vibaya usoni na kichwani, amekuwa akizimia mara kwa mara - Video: | Hisia za Mwananchi

Msichana aliyepigwa na Chidi Benz alijeruhiwa vibaya usoni na kichwani, amekuwa akizimia mara kwa mara - Video: | Hisia za Mwananchi

Read more »

0
HABARI KAMILI NA ZA KINA KUHUSU KUGOMBANA KWA P-SQUARE HABARI KAMILI NA ZA KINA KUHUSU KUGOMBANA KWA P-SQUARE

Wiki hii mitandao ya nchini Nigeria iliripoti kuwa kulikuwa na ugomvi Mkubwa kati ya mapacha wawili wanaounda kundi la P S...

Read more »

0
Mwanamke ashambuliwa mkoani Geita kwa kuvaa Kimini ( nguo fupi)......Sungusungu walimkamata, wakaanza kumpapasa makalio na kisha kumcharaza viboko Mwanamke ashambuliwa mkoani Geita kwa kuvaa Kimini ( nguo fupi)......Sungusungu walimkamata, wakaanza kumpapasa makalio na kisha kumcharaza viboko

(picha ya maktaba) **** Askari wa jadi maarufu kama sungusungu wa mtaa wa Mwatulole kata ya Kalangalala mjini Geita wanadaiwa kumdha...

Read more »

0
Rais Kikwete amaliza ubishi mashine za kodi.....Asisitiza hakuna namna ni lazima mashine za EFDs zitumike, aagiza TRA wakutane na wafanyabiashara Rais Kikwete amaliza ubishi mashine za kodi.....Asisitiza hakuna namna ni lazima mashine za EFDs zitumike, aagiza TRA wakutane na wafanyabiashara

RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza msimamo wa Serikali, kwamba mashine za elektroniki za ukusanyaji kodi (EFDs), lazima ziendelee kutum...

Read more »

0
Kesi ya Madawa ya kulevya China.....Jack Patrick aangua kilio mahakamani,Wachina wamzomea Kesi ya Madawa ya kulevya China.....Jack Patrick aangua kilio mahakamani,Wachina wamzomea

Hatimaye  modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ amepandishwa kortini kwa mara ya kwanza huko Macau nchini China...

Read more »

0
HATAREE...AAMUA KUANIKA UTUPU WAKE MUUONE LIVE BILA CHENGA, CHEKI HIZI PICHA ZAKE HATAREE...AAMUA KUANIKA UTUPU WAKE MUUONE LIVE BILA CHENGA, CHEKI HIZI PICHA ZAKE

Hivi karibuni wasanii wengi waTanzania hasa wa jinsia ya kike wamekua wakipiga picha za utupu. >>>BOFYA HAPA<<<    W...

Read more »

0
BINTI MIAKA 16 ATOA SIRI ZA FREEMASON BINTI MIAKA 16 ATOA SIRI ZA FREEMASON

NI lipi hujasikia? Linaweza kuwa hili! Binti mmoja aliyetambulishwa kwa jina la  Fauzia (jina la mbele lipo), mwenye umri wa miaka 16, m...

Read more »

0
PICHA ZA KIBAKA ALIYEDUNDWA MPAKA KUPOTEZA UHAI LAIVU, ONYO! PICHA ZINATISHA! PICHA ZA KIBAKA ALIYEDUNDWA MPAKA KUPOTEZA UHAI LAIVU, ONYO! PICHA ZINATISHA!

Kijana Mmoja aliyetuhumiwa kuwa Kibaka Akiwa amekaa kwa Huruma mara baada ya Kushushiwa Kipigo na wanaodhaniwa wanafunzi wa Chuo Kiku...

Read more »

0
JAMANI LULU! UMEANZA EEH! JAMANI LULU! UMEANZA EEH!

  Elizabeth Michael ‘Lulu’. KWAKO Elizabeth Michael ‘Lulu’. Leo nimeona nikukumbuke kupitia barua! Natambua uwezo wak...

Read more »

0
Skendo za kuiba wanaume za watu zamtoa Machozi Msanii Mainda Kanisani…!! Skendo za kuiba wanaume za watu zamtoa Machozi Msanii Mainda Kanisani…!!

OOHHOO! Mwigizaji mkubwa wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kuangua kilio ‘laivu’ kanisani kisa kubanwa na waandishi wa Gl...

Read more »

0
ZIPO HAPA KAULI ZILIZOTOLEWA BUNGENI LEO NA TUNDU LISSU, WASSIRA, MTIKILA NA ISMAIL JUSSA ZIPO HAPA KAULI ZILIZOTOLEWA BUNGENI LEO NA TUNDU LISSU, WASSIRA, MTIKILA NA ISMAIL JUSSA

Zifuatazo ni kauli zilizotolewa na viongozi mbalimbali wa zile kamati kwenye bunge la katiba linaloendelea sasa hivi hapa Dodoma am...

Read more »

0
AJALI MBAYA MAKONGO, GARI DOGO LADONDOKEWA NA LORI LA MCHANGA, TAZAMA PICHA HIZI AJALI MBAYA MAKONGO, GARI DOGO LADONDOKEWA NA LORI LA MCHANGA, TAZAMA PICHA HIZI

  Hii ni ajali iliyotokea eneo la makongo ambapo gari ndogo imeangukiwa na gari la mchanga asubuhi hii. Juhudi za uoko...

Read more »
 
 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X