0

Basi aina ya Urio yenye namba za usajili T 137 BCX inayofanya safari zake moshi kuelekea leguruki mkoani Arusha jana jioni  limepinduka katika eneo la KIA  na kujeruhi watu zaidi ya 31.Mashuhuda waliokuwepo katika eneo la tukio walisema kuwa dereva huyo alikuwa anajaribu kukwepa pikipiki iliyokuwa imejichomeka barabarani.

"Dereva alikuwa anajaribu kukwepa pikipiki ndipo gari ikamshinda na kuhama barabara , ikaanguka na kubiringika mara tatu kichwa chini matairi juu" alisema mmoja  wa shuhuda ambaye akutaka kutaja jina.
 
 
 

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X