
Chalz Baba alifunguka hivi “Sikuwahi kumtongoza bali nilikuta nimesha-date nae hata hivyo kwa mwanaume anaye mtongoza Wema hana kazi, coz mimi siamini kama Wema anatongozwa naamini huwa tu anaenda mwenyewe ahahaaahaahah yule siyo demu kabisa duh! asijisifu kuwa nilishawahi kumtongoza unanionaje kwanza nina jina kubwa bwana watu wanajileta”
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment