
Wiki hii mitandao ya nchini Nigeria iliripoti kuwa kulikuwa na ugomvi Mkubwa kati ya
mapacha wawili wanaounda kundi la P Square,Peter na Paul Okoye na kwamba walitaka kupigana wakati wakiwa mazoezi.
Habari zilichochewa na tweet hii ya kaka yao Mkubwa ambaye pia ni Meneja wao,Jude Okoye
tweet hii iliyotafsiriwa na mitandao hiyo huenda ameachana na kundi hilo.
Hata hivyo msemaji wa kundi hilo aitwaye Bayo Adeta alikanusha Habari hizo wakati akihojiwa na Premium Times na kudai kuwa hafahamu habari hizo zimetoka wapi. taarifa kutoka kwa mtu wao mwingine wa karibu alisema maneno haya ambayo yanaeleza zaidi kuhusu ugomvi huo na mpaka ulipofikia sasa kutaka kugawana mali zao wanazomiliki.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment