0
Maskini Maskini "JOKATE KIDOTI"

Picha za nusu utupu ambazo amezipiga mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo zinaonekana kumtesa kufuatia baadhi ya waumini wa kanisa analosali kumsema kuwa anakwenda kinyume na maadili. Picha…

Read more »

0
Picha 5 za Basi la Bunda Express baada ya Kugongana na Treni huko Singida…!!Picha 5 za Basi la Bunda Express baada ya Kugongana na Treni huko Singida…!!

JIUNGE NA PAGE YETU BOFYA HAPA UPATE MENGI …

Read more »

0
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) anaomba msaada wa matibabu kutoka kwa wasamaria wema ili aweze kufanyiwa upasuaji kutokana na Kichwa na Kiwiliwili kuungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. MTOTO Adolotea Njavike(1.4) anaomba msaada wa matibabu kutoka kwa wasamaria wema ili aweze kufanyiwa upasuaji kutokana na Kichwa na Kiwiliwili kuungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi.

MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. Mama Mkubwa wa Mtoto huyo, Salome Kiegu(35) mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Iyunga Jijini Mbeya anasema Mtoto huyo akiwa na mam…

Read more »

0
AUDIO | SHETTA ft DIAMOND PLATNUMZ - KEREWA | Download AUDIO | SHETTA ft DIAMOND PLATNUMZ - KEREWA | Download

  Download …

Read more »

0
AUDIO | Dj Pro ft Sat B - Mkombozi Kale Katoto Rmx | Download AUDIO | Dj Pro ft Sat B - Mkombozi Kale Katoto Rmx | Download

DOWNLOAD HAPA …

Read more »

0
ANGALIA PICHA KIJANA AKAMATWA IKIIBA KANISANI ANGALIA PICHA KIJANA AKAMATWA IKIIBA KANISANI

Emmanuel baada ya kupokea kichapo cha nguvu kutoka kwa wanachuo. Kijana anayejulikana kwa jina moja la Emmanuel (30), amejikuta akipokea kipigo ‘hevi’ baada ya kukamatwa akiiba katika Chuo cha Theofilo Kisanji ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilut…

Read more »

0
AUDIO | Lonka - Beautiful smile | DownoloadAUDIO | Lonka - Beautiful smile | Downoload

Download hapa …

Read more »

0
AUDIO | WALTER CHILAMBO - MAVELA | DownloadAUDIO | WALTER CHILAMBO - MAVELA | Download

Download …

Read more »

0
AUDIO | ALICE - JE UTANIPENDA | Download AUDIO | ALICE - JE UTANIPENDA | Download

Download …

Read more »

0
HII NDO JEURI YA PESA YA DAVIDO...ATENGENEZEWA SIMU YAKE MAALUMU YENYE DHAHABU TELE HII NDO JEURI YA PESA YA DAVIDO...ATENGENEZEWA SIMU YAKE MAALUMU YENYE DHAHABU TELE

  He shared his new gold iPhone on his instagram page this morning, exclusively made for him.…

Read more »

0
Daktari FEKI Anaswa tena Muhimbili..!Daktari FEKI Anaswa tena Muhimbili..!

Daktari Feki Hospitali ya taifa ya Muhimbili imemkamata mtu mmoja anae sadikiwa kuwa daktari feki ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akitapeli wagonjwa wanaoenda kutibiwa katika hospitali hiyo ya taifa kwa namna mbalimbali Daktari huyo…

Read more »

0
Msanii Ray C Afungua Kikundi cha Kuelimisha Vijana juu ya Athari za Madawa ya Kulevya.Msanii Ray C Afungua Kikundi cha Kuelimisha Vijana juu ya Athari za Madawa ya Kulevya.

Msanii Ray C Staa Nguli wa muziki wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’Ray C’ambaye pia aliwahi kutumia madawa ya kulevya na kuacha amefungua asasi iitwayo Ray C Foundation iliyoanzishwa rasmi February 2014,ofisi ipo Jengo la Biashara C…

Read more »

0
CHADEMA, SAKATA KAMILI LA DIWANI KUJIUZULU SHINYANGA.CHADEMA, SAKATA KAMILI LA DIWANI KUJIUZULU SHINYANGA.

CHADEMA Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinaynga kimepata pigo kubwa baada ya madiwani wake wawili katika manispaa ya Shinyanga kutangaza kujiuzulu nyadhifa zao kutokana na madai kuwa  viongozi ngazi ya taifa  wa …

Read more »

0
DK. CHENI: FREEMASON WANANITESADK. CHENI: FREEMASON WANANITESA

MINONG’ONO na uvumi unaotambaa kwa kasi kuwa anajihusisha na taasisi ya wajenzi huru (Freemasons), unazidi kumtesa msanii wa filamu za Kibongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dk. Cheni’ kwa madai ya kwamba anajisikia vi…

Read more »

0
Jipatie mchumba au rafiki kupitia hapa leo Jipatie mchumba au rafiki kupitia hapa leo

Shebby D Blog kwa mara nyingine tena leo tupo na hawa hapa waliojitokeja kuomba marafiki wa kuchati nao pamoja na wachumba ikibidi waishi kama mke na mme. Hawa watu wako serios na ndo maana wamejitokeza hivyo usipuuzie nafasi ni yako. Natafuta rafik…

Read more »

0
MGANGA WA DIAMOND YAMEMKUTA !MGANGA WA DIAMOND YAMEMKUTA !

Yule mganga anayejitapa kumtengenezea nyota ya mvuto staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya yamemkuta mazito. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti hili zinaeleza kuwa jamaa huyo anahenyeshwa na polisi akiwa mahabu…

Read more »

0
Museveni Ambwatukia Obama…Amtaka Aache Kuingilia Siasa za Uganda..!Museveni Ambwatukia Obama…Amtaka Aache Kuingilia Siasa za Uganda..!

Raisi Yoweri Museveni. Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametoa matamshi makali dhidi ya Rais Barack Obama wa Marekani akimtaka akome kungilia masuala ya ndani ya Uganda. Matamshi hayo makali yamekuja baada ya Rais wa Marekani kutishia k…

Read more »
0

SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amewafunda wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba dhidi ya vitendo vinavyoweza kuwavunjia heshima na kuwaambia Ukimwi upo na umekithiri. Makinda, ambaye hiki ni kipindi chake cha nane akiwa bungeni…

Read more »

0
SHOCKED..MCHEZO MCHAFU..MREMBO WA KIBONGO ABAKWA NA KUUAWA NCHINI CHINA...IHALI YA MAITI YAKE INATISHA..SOMA ZAIDI HAPA...!SHOCKED..MCHEZO MCHAFU..MREMBO WA KIBONGO ABAKWA NA KUUAWA NCHINI CHINA...IHALI YA MAITI YAKE INATISHA..SOMA ZAIDI HAPA...!

AMA kweli dunia hadaa, ulimwengu shujaa! Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni, wakifika kule wanawanyang’anya paspoti na kuwauza kwa wanaume (uka…

Read more »

0
MAUAJI KAHAMA!!! MWANAMKE ACHINJWA,CHANZO CHATAJWA KUWA NI WIVU WA MAPENZI,TUNAOMBA RADHI KWA PICHAMAUAJI KAHAMA!!! MWANAMKE ACHINJWA,CHANZO CHATAJWA KUWA NI WIVU WA MAPENZI,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

Mwili wa Bi Monica Elias ukiwa eneo la tukio mara baada ya jeshi la Polisi kupata taarifa na kufika eneo  la tukio Ikiwa ni wiki moja tu baada ya mwanamke mmoja kuchinjwa na mme wake huko Wilayani Nzega mkoani Tabora kwa kile kilichodaiwa kunyiman…

Read more »

0
Dully Sykes Ajuta Kuishi Tabata…. Adai Kumemkosesha Madili Mengi…!!Dully Sykes Ajuta Kuishi Tabata…. Adai Kumemkosesha Madili Mengi…!!

Msanii wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes kwa muda mrefu baada ya kuhamisha makazi yake kutoka kariakoo, alihamia pembeni ya mji wa Dar es salaam maeneo ya Tabata, hiyo ni baada ya kujenga mjengo wake pande hizo za Tabata,ambapo ali…

Read more »

0
Msanii Bongo Muvi Anaswa Akijiuza usiku wa Manane….Steve Nyerere Amcharukia.Msanii Bongo Muvi Anaswa Akijiuza usiku wa Manane….Steve Nyerere Amcharukia.

ILE skendo ya kukithiri kwa baadhi ya mastaa Bongo kujiuza imechukua sura mpya kufuatia msanii wa Bongo Movies, Isabella Francis ‘Vai wa Ukweli’ naye kunasa mtegoni, Ijumaa lina kisa kizima. Tukio hilo la aibu kwa tasnia ya sinema n…

Read more »

0
Diamond Amponza Dully Sykes Video yake kufungiwa…Ni baada ya kuvaa T-shirt inayowatukana Polisi..!Diamond Amponza Dully Sykes Video yake kufungiwa…Ni baada ya kuvaa T-shirt inayowatukana Polisi..!

Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii kufungiwa na ya kwanza  ni kitendo cha msanii Diam…

Read more »

0
WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA WATOTO WALIO ZALIWA WAMEUNGANA WAREJEA DAR BAADA YA KUTENGENISHWA

Watoto pacha, Elikana na Eliud waliokuwa wameungana wamerejea nchini jana wakitokea India walipokuwa kwa ajili ya kutenganishwa, tayari kwa kusherehekea kumbukumbu yao ya kutimiza mwaka mmoja leo. Waliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyer…

Read more »

0
HAWA HAPA NDO WANAHITAJI WACHUMBA NA MARAFIKI SASA BOFYA UWASOMEHAWA HAPA NDO WANAHITAJI WACHUMBA NA MARAFIKI SASA BOFYA UWASOME

Naitwa James Chaula  nahitaji marafiki wa kupeana mawazo ya kulijenga taifa jinsia za aina yote na awe na umri wa kuanzia miaka 18. awasiliane na mm kw no 0754 420800 au Email yangu jameschaula@gmail.com au facebook natumia jina hilo. Natafuta mchum…

Read more »
 
123 ... 753»
 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X