Home
»
ENTERTAINMENT
» HAWA HAPA NDO WANAHITAJI WACHUMBA NA MARAFIKI SASA BOFYA UWASOME
 |
- Naitwa James Chaula nahitaji marafiki wa kupeana mawazo ya kulijenga taifa jinsia za aina yote na awe na umri wa kuanzia miaka 18. awasiliane na mm kw no 0754 420800 au Email yangu jameschaula@gmail.com au facebook natumia jina hilo.
- Natafuta mchumba wa kike mimi naishi Dar , dini yngu muislamu aliye tayari tuwasiliane 0786612377 au 0652784861
- ninatafuta mchumba mwanamke aliye seriousikuolewa awe usiozidi miaka 35, mawasilano 0754840009
- Naitwa Frenk nipo Moro town natafuta mchumbawa kuishi nae umri 22 hata akizidi kidogo sio mbaya . Wasifu wake awe mweupe kidogo ,awe mwembamba ila wastani asiwe mlevi na asiwe na watoto,ambaye ajawahi kuolewa nipo seriousi na hili sipendi mzinguzi na hili anitafute kwa namba 0656959321 au 0788842307
- Naitwa Nely from Moshi natafuta mpenzi wa kike awe anakaa kati ya Moshi au Arusha nipo serios umri wangu ni miaka 20 lakini nasoma niko atayenipenda awe na miaka 18 - 20 namba za simu 0763698971 au 0689862992
- Jina langu naitwa Adamu natokea Mbeya pande za Mbalizi natafuta marafiki si kike wala wa kike yoyote 0769231097
- Mambo vp ? naitwa Kassimu Kigambo ni umri wa miaka 19 nipo Dar natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya dhati, na tamaa na asiyependa pesa, asiwe mrefu sana awe na umbo zuri na lakuvutia , asiwe mnene wala mwembamba sana plz vigezo na masharti kuzingatiwa kwa aliye tayari no 0659230623 usibip sms zitajibiwa.
- Naitwa Adam nina umri wa umri wa miaka 20 natokea Mbeya pande na Mbalizi naitaji marafiki jinsia yoyote 0769231097
- Call me Luck Philipo natafuta marafiki wa kuchati nao namba 0657641748
- Friends Saidi wa Dar natafuta mchumba tuwasilane kwa namba 0653825491
- Naitwa Ibra 5 nina miaka 18 natafuta rafiki wa kike awe na miaka 18 naishi moro town aliye tayari anicheki kupitia no 0752885959 tubadilishane mawazo.
- Naitwa Antoni natafuta rafiki wa kike namba zangu 0712732580
- Naitwa Mussa wa Mbeya natafuta mchumba muislam muumin anaeupenda uislamu wake karibu 0753381447 au 0715411854
- Mambo vp watu wangu wa blog hii naitwa Ridhiwani mtoto wa sajenti Seif natafuta mchumba umri miaka 18 - 20 sibagui dini wala kabila awe mstaarabu ajue maumivu ya mapenzi no yangu 0656701438
- Naitwa Chrouch natafuta marafiki wa kuchati nao wanawake ndo haswa 0714919131
- Mambo wadau mimi naitwa suleiman kigambo nahitaji marafiki jinsia zote 0656151873
- Naitwa Asia Khamisi wa Singida natafuta mchumba mwislamu aliye tayari no 0753381447
- Naitwa Richard na miaka 23 natafuta mchumba awe na umri wa miaka 18 - 21 sibagui dini 0759895537
- Naitwa mwl Rashidi Mdabwa nipo Korogwe Tanga natafuta mchumba awe anaishi Tanga then muislam no 078861156 au 0766939558 umri miaka 22 hadi 25 mi na miaka 28
- Jina langu naitwa prince Danford , umri wangu miaka 19 natafuta msichana wa miaka 18 kwa aliye tayali mm naishi Mbeya tuwasiliane kwa namba 0757 038805
- Naitwa M.E.Kipeja natafuta rafiki wa kubadilishana mawazo . Sifa awe ameokoka jinsia yoyote , niko MWANZA naabudu E.A.G.T namba 0782464764 piga au tuma sms usibip, mbalikiwe na yesu.
- Naitwa Hamadi Juma wa Geita ni umri wa miaka 34 natafuta mchumba baadaye awe mke wangu ila awe muislamu ambaye yupo tayari tuwasiliane 0763512812
- Kwa jina naitwa Bill Dikho naishi Tanga na umri wangu ni miaka 35 natafuta marafiki wa jinsia ya kike umri kuanzia miaka 30 hadi 50 kama uko tayari wasiliana nami kwa 0789700557 au 0713152516
- Naitwa Amosi Paulo wa Mwanza kwa sasa naishi Dar kikazi umri wangu ni miaka 23 wa kuchati nao jinsia yoyote .Na pia natafuta mchumba sibagui dini wala kabira ila awe na kazi na kazi na mwenye kuishi popote umri 18 - 20 no 0786010622 / 0752063888
- Mimi Samweri natafuta mchumba awe na miaka 18 - 35 nipo Singida sibagui dini mawasiliano0754265933
- Naitwa Chris nipo Mwanza natafuta mchumba mwenye umri 18 - 21 namba yangu 0715904754
- Naitwa festo Sindani natafuta mchumba msichana awe na miaka kuanzia 20 - 26 awe mfupi kidogo anayejipenda na pia awe mkweli namba zangu 0683962245
- Naitwa Stephen nipo Dar es salaam natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli umri kuanzia miaka 18 - 20 mwisho sibagui dini wala kabira no 0653314715 .
- Naitwa Yohana natafuta mchumba jinsia yangu mvulana nina miaka 20 vigezo awe chini ya umri wangu call me no 0754521227 ok!
- Natafuta msichana mrembo ajitambue kama yeye ni mzuri rangi yoyote mrefu mwembambakiasi awe mpenzi wangu kama atakuwa muaminifu atakuwa mke wangu pia awe na kazi yoyote asiwe wa kukaa nyumbani tu mi naitwa Kapingu nina miaka 30 namba yangu 0753710773
- Naitwa Kareemmiaka 24 kutoka Arusha natafuta girlfriend mweupe na awe Arusha aliye tayari anicheki 0768306798 usibip
- Naitwa Ally Juma niko Arusha natafuta mchumba kuanzia miaka 20 awe muislamu na sibagui kabila aliye tayari 0753076586
- Mambo vp Salehe ndo jina langu naishi Dar nina miaka 18natafuta marafiki wa jinsia zote awe ana chati na mimi au kuongea na mimi ukipenda niwe rafiki yako namba zangu ni 0715690829 au 0785295200 .
- Mimi naitwa Frank niko Dar natafuta mchumba wasifu wake (1) awe mpole na mkweri mwenye mapenzi ya dhati (2)awe msafi na mwenye kujali maisha (3) awe na elimu ya kidato cha 4 nakuendelea no 0653934616
- Naitwa Jackson nipo Dar natafuta mchumba umri 18 - 19 awe msichana mweupe au maji ya kunde mawasiliano 0759315661
- Haloo naitwa Abdul age 21 natafuta mchumba mwelewa anaye jieshimu na awe na malengo mpaka ndoa mi nipo Mbagala namba hii txt ziajibiwa na pia sitaki waziguaji namba 0719509466
- Naitwa Inno wa Dar umri miaka 22 natafuta mchumba kwa aliye tayari namba 0689902456
- Naitwa Anitha natafuta marafiki wa kuchati nao kwa mawasiliano zaidi namba zangu ni 0762293485
- Mimi natafuta mchumba wa kiislamu awe swala 5 umri wa miaka 18 na kuendelea naitwa Abasi Sarim naomba mnijibu kupitia 0768574210.
- Ancle Nasir natafuta mchumba wa kuoa mimi ni muislamu ila sibagui dini umri 18 - 22 aliye tayari atume sms kwenda 0687942572
- Naitwa Charles ninaishi Dar nimejitokeza kwenye blog hii ninatafuta mchumba wa kike umri wangu ni miaka 22umri wake uwe 19 - 23 na awe anaishi Dar au anahamia Dar siku za karibuni na awe na upendo wa dhati na asiwe na tamaa za pesa na awe ana jishughulisha na shughuli yoyote kama yupo anitafute kwa namba 0754221277 muda wowote
- Naitwa Rosemary Jonh na umri wa miaka 21 natafuta mtu ambaye ataniendeleza kipaji changu cha sanaa nataka nitoke niwe kama Wema namba yangu ni 0719575856
- Jina langu naitwa Jonson nina umri wa miaka 19 niko Arusha natafuta mchumba wa jinsia ya kike umri 18 - 19 waliopo Arusha watapewa kipaumbele zaidi nicheki kwa namba 0763465463
- Naitwa Yusuph naishi Mabibo Dar miaka yangu ni 25 natafuta mchumba wa kike mwenye miaka kuanzia 18 - 23 awe anaishi Dar tuwasiliane kwa no 0652 431045
- Niaje marafiki mi naitwa Mbuyu Twite naishi Dar nafanya kazi uwanja wa ndege ndani , nahitaji marafiki wa kike asye olewa na awe na kazi maisha yangu napenda mpira na mimi ni mchezaji . Tuwasiliane 0683313410 au 0717291361
- Natwa Siras nipo Dom natafuta marafiki wa kike awe na miaka 18 - 23 n0 0752094406
- Naitwa hamadi Iddi miaka yangu 19 natafuta msichana wa miaka 18 - 24 sifa awe mrefu wa makamo rangi yeyote kwa mawasiliano 0789835178/ 0718548084
- Naitwa Jemsi wa Serengeti natafuta mchumba awe mweupe kidogo mrefu wastan mwenye mapenzi ya kweli katika ndoa namba zangu 0767997543
- Naitwa Mussa natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo (1) muislamu (2) mcha mungu (3) awe amesoma elimu ya dini chuo chochote sio madrasa (4)asiwe chini ya futi 5 awe mweupe (6) asiwe na mtoto mengine tutazungumza akipatikana aliye tayali kuishi maisha ya kiislamu sio jina bali vitendo kwa ajili ya mungu tuwasiliane kupitia 0757951836 0778888351
- Mimi naitwa Abasi Salimu natafuta mchumba awe muislamu kuanzia miaka 18 - 21 n0 0768574210
- Mambo vp mimi ni kijana mvulana nina miaka 26 naishi Morogoro Ulanga natafuta rafiki wa kike baadae awe mke tufunge ndoa. Jina langu Jonasi Shayo kabila langu mchaga dini mkiristo sifa za nimtafutae umri 18 - 24 mkiristo asinywe pombe wala sigara kazi mipango ya mungu elimu kuanzia std 7 na kuendelea aliekuwa tayari apige au sms au bip no 0789473510/0789993030
- Naitwa Alpha Apollo naishi Ngara Kagera natafuta mchumba wa kike umri kati miaka 18 - 23 kabira zote. Mwenye elimu ya kidato cha nne aliye tayari anitafute kwa simu no 0758001277/0684360366
- Naitwa Kennedy umri wangu ni 30 elimu yangu ni form 6 rangi yangu ni maji ya kunde umbo mwembamba dini mkiristo, natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo awe mwembamba ,asitumie vipodozi , asitumie aina yoyote ya kilevi asiyevaa nusu uchi kwa mawasiliano no 0762419835
- Naitwa Frenk Mwamberwa mwenyeji wa Mbeya ila kwa sasa nipo Dar umri wangu 28 natafuta rafiki wa kike awe na miaka 20 - 25 no 0783508870
- Mimi naitwa Samweli Leonard nipo Arusha natafuta mpenzi wa kuchati nae 0686068094
- Mimi ni kijana ( mvulana )umri wangu miaka 37 natafuta rafiki wa kike wa kuchati na kushare naye mambo mbali mbali namba yangu 0718684912
- Naitwa Philimon natafuta mchumba umri 18 - 20 nipo kigamboni Dar 0762323534
- Mi naitwa Twaibu natafuta marafiki wa kuchati umri 18 nipo Morogoro namba zangu 0717746073
- Naitwa Sauli Noely naishi Moshi kikazi nyumbani Arusha namtafuta mchumba aliye tulia mawasiliano 0758096653 sms zote zitajibibiwa .
- Naitwa Bby nk Ar chuga umr wng 19 natafuta marafiki wa kuchati nao tu umri 19 - 25 sitaki mpenzi kabisamy no 0764707696
KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI
Pia endelea kututumia sms yako kupitia 0752520417 huduma hii ni ya bure .
Tunatoa huduma ya kufungua acount kama facebook, twitter nk wasiliana nasi moja kwa moja kupitia 0759051044
|
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment