Shirika
la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya
ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya
shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.

Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwa ajili ya Kenya Airways









Picha: Nairobi Wire
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment