Home
»
ENTERTAINMENT
» Diamond Amponza Dully Sykes Video yake kufungiwa…Ni baada ya kuvaa T-shirt inayowatukana Polisi..!
Wote tumemsikia jana Prince Dully Sykes akiongelea
kufungiwa kwa video yake ya kabinti special na Baraza la Sanaa
Tanzania(BASATA) . Kuna sababu kuu mbili zilizosababisha video hii
kufungiwa na ya kwanza ni kitendo cha msanii Diamond Platnumz kuvaa
T-shirt iliyoandikwa neno ambalo ni tusi . Hii ingekua kwa nchi za
mbele basi ungekutwa t-shirt hii wanaifanyia kitu kinaitwa “blurring”
yaani wanayafanya maneno yasisomeke lakini wabongo wakaona isiwe tabu na
director akaamua kuacha video irushwe ikiwa katika hali hii.
Sababu ya pili ni vazi la ufukwe yule demu alilovaa kitu ambacho dully ameona haikua mbaya.
Je, Unadhani ni haki video hii kufungiwa na kama ni haki je unafikiri ifungiwe ni kwasababu ipi ya msingi?
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment