Msanii wa Bongo Fleva Prince Dully Sykes kwa muda mrefu baada ya
kuhamisha makazi yake kutoka kariakoo, alihamia pembeni ya mji wa Dar
es salaam maeneo ya Tabata, hiyo ni baada ya kujenga mjengo wake pande
hizo za Tabata,ambapo alihamia yeye na mama yake.Ambapo Dully alianzisha
studio yake ya Dhahabu Records, lakini sasa hivi Dully Sykes ameona
kama alikosea kuondoka maeneo ya Kariakoo na anataka kurudi maeneo hayo
ya Kariakoo na kuirudisha studio yake ili kukabiliana na soko la
ushindani.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment