0


Mwili wa Bi Monica Elias ukiwa eneo la tukio mara baada ya jeshi la Polisi kupata taarifa na kufika eneo  la tukio

Ikiwa ni wiki moja tu baada ya mwanamke mmoja kuchinjwa na mme wake huko Wilayani Nzega mkoani Tabora kwa kile kilichodaiwa kunyimana unyumba kwa wanandoa hao ,matukio ya kikatili yameendelea kujitokeza ambapo ,Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Ntobo "B" kata ya Ntobo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga,  Monica Elias (40) ameuawa kwa kuchinjwa wakati akiwa nyumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X