Msanni Prezzo wa Kenya atakuwa amepata
sample ya majibu ya baadhi ya fans wake ambao wengi ni wakenya baada ya
kumdiss
Diamond Platinumz wa Tanzania kupitia akaunti yake ya twitter July 10.
Sample ya majibu hayo inaweza kuonekana
kupitia comments
zote za fans kwenye habari iliyowekwa na mtandao wa ghafla wa nchini
Kenya,
ambapo asilimia 99 wameonesha kutokubaliana na alichokifanya.
Edwin Mwashegwa : ah,
Diamond achana na huyu mbulula, wewe unda hela!, bifu za kisenge
hazifai.
Top Commenter: Prezzo umepita hiyo age
ya beef za kishenzi.
Ingia studio utoe kitu, otherwise kwa musiki diamond ako juu. I feel you
bro!
anything to remain relevant and grab some headlines.
Bellah Ongachi : aaarggh Diamond is
waaayy better.. n am
sure by the time he hits the years prezzo has stayed in the
entertainment scene
he'll be miles ahead..so your thing diamond.
Caroline Karijo : Mhhhhh who even
listens to to him Jaguar
and Diamond r much better than him n we all knw,,,,,,, he can continue
playing
women who stoops low for him.
Yvonne De Cole : Prezzo ni wivu
nini,,,, leave the highest
paid musician in East Africa alone,,, ana mulla en he is still simple
doesn
floss,,,, prezzo inherits yet flosses
De Sheriff : Diamond, silence is the
best weapon. let the
baby throw tantrums. Prezzo, its tym to mature up.
Diamond hadi sasa bado hajazungumza chochote.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.