0

ELECTRONIC2
Mara kwa mara nimekuwa nikikusogezea orodha ya waigizaji bora duniani au msanii mwenye hela ndefu zaidi duniani au hata wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani… na najua kote huko ulikaa karibu na mimi kwenye ufuatiliaji wa hesabu hizo zote mtu wangu.
Time hii nataka niisogeze kwako orodha tofauti kabisa… Je unawajua DJ’s wenye hela zaidi duniani?! Yes  DJ’s mtu wangu, na kwa mwaka 2015 jarida la Forbes la Marekani limetoa orodha ya ‘Electronic Kings 2015’ hapa utaweza kuwajua wale DJ’s wote wakubwa na wenye pesa duniani.
ELECTRONIC
Kwenye Orodha hiyo yupo Calvin Harris kutoka Uingereza ambae ndiye Dj anaelipwa zaidi kwa mwaka huu akiwa na thamani ya $66 Million, anafuatiwa na David Guetta kutoka Ufaransa akiwa na thamani ya $37Million.
Wengine pia wapo, ungependa kuwajua? Orodha kamili nimeisogeza kwako hapa chini mtu wangu.
Hii hapa ni orodha ya ‘Electronic Kings 2015’
dj1
1. Calvin Harris kutoka Uingereza$66 Million.
dj2
2. David Guetta kutoka Ufaransa $37 Million.
dj3netherlands
3. Tiesto kutoka Netherlands Uingereza $36 Million
AUSTIN, TX - MARCH 16: Skrillex performs at 1100 Warehouse during SXSW 2012 Music Festival on March 16, 2012 in Austin, United States. (Photo by Andy Sheppard/Redferns via Getty Images)
4. Skrillex kutoka Los Angeles Marekani$24 Million.
dj5miami
 5. Steve Aoki kutoka Miami  $24 Million.
dj6sweeden
6. Avicii kutoka Sweeden $19 Million.
dj7
7. Zedd kutoka Urusi $ 17 Million
3fm dj's Coen Swijnenberg, Paul Rabbering en Giel Beelen 3FM Serious Request draait dit jaar om diarree. Jaarlijks overlijden er wereldwijd 800.000 kinderen aan de gevolgen van diarree en om dat aantal terug te dringen, zetten 3FM en het Rode Kruis zich van 18 t/m 24 december vanuit Leeuwarden in om zoveel mogelijk geld in te zamelen voor deze stille ramp. Details: www.3fm.nl
8. Kevin Garrix$ 17 Million.
dj9netherlands
9. Afrojack kutoka Netherlands Uingereza $16 Million
dj10usa
10. Diplo kutoka Marekani$15 Million.
dj11canada
11. Deadmau5 kutoka Canada –  $15 Million.
Dj Deadmau5 hua haonyeshi sura yake na kwenye shows zake nyingi hupendelea kuvaa kichwa cha mdoli (Mickey Mouse) na ameshawahi kupiga muziki kwenye show za BET Awards zaidi ya mara 3.

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X