Macho yako yameshawahi kukutana na uwanja wa soka kama huu duniani?

image
Tumezoea kuona viwanja vya mpira vya thamani na vikubwa sehemu mbalimbali duniani lakini hii iko sehemu moja tu Duniani, ni uwanja wa soka ambao umejengwa juu ya maji, huu umevunja rekodi… ni Marina Bay ambao upo Singapore.

Comments