 |
| Neeccia Jay |
Huyu mwanadada wa ukweli ndie ambaye aliwahi kutufungulia safu yetu ya KISURA WA WIKI , ndiye ambaye leo anatimiza miaka kazaa. Leo mapema aliongea na SHEBBY D BLOG na kueleza jinsi atavyoshelekea siku yake hii ya kuzaliwa, Alisema atasherekea sherehe yake akiwa na marafiki zake hakiwa chuoni UDOM anaposomea. Na Shebby D Blog impongeza sana mwanadada huyu. Bofya hapa umsome zaidi
ongera yako!
ReplyDeletehuyo dada mzuri sana tutumie angalau no zake
ReplyDeleteongera sana dad yetu kweli we ni waukweli nimekukubaliii
ReplyDeletesasa we unataka namba za mademu za watu utapigwa na usharo wako bwege we
ReplyDelete