3
SHEBBY D BLOG IMETOA SHAVU KWA MWANADADA NECCIA JAY KWAKUTUFUNGULIA SAFU YETU MPYA AMBAYO KILA JUMATANO TUTAKUWA TUNAWEKA KISURA AMBAYE ATAIPAMBA BLOG YETU LEO TUKO NA MTOTO WA UKWELI TOKA PANDE ZA MBEZI.MNAKARIBISHWA SANA WAREMBO KWENYE SAFU YETU HII TUTUMIE NASI TUTAKURUSHA . ILATUNAOMBA TUTUMIE PICHA UKWELI NA ZENYE MAADILI. KAZI KWENU WAREMBO.
HAPA AKIWA AMEACHIA TABASAMU LA UKWELI
POZI LA UKWELI
FULL BATA


Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X