4
Neeccia Jay
Huyu mwanadada wa ukweli ndie ambaye aliwahi kutufungulia safu yetu ya KISURA WA WIKI , ndiye ambaye leo anatimiza miaka kazaa. Leo mapema aliongea na SHEBBY D BLOG na kueleza jinsi atavyoshelekea siku yake hii ya kuzaliwa, Alisema atasherekea sherehe yake akiwa na marafiki zake hakiwa chuoni UDOM anaposomea. Na Shebby D Blog impongeza sana mwanadada huyu. Bofya hapa umsome zaidi

Post a Comment

  1. huyo dada mzuri sana tutumie angalau no zake

    ReplyDelete
  2. ongera sana dad yetu kweli we ni waukweli nimekukubaliii

    ReplyDelete
  3. sasa we unataka namba za mademu za watu utapigwa na usharo wako bwege we

    ReplyDelete

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X