MTV Base jana ilikuwa inazunguka na Diamond Platnumz kwenye mitaa mbalimbali jijini Johannesburg, Afrika Kusini kushoot kipindi chao kipya kitakachoanza kuonekana kwenye kituo hicho mwezi October mwaka huu.
Tumewasiliana na uongozi wa kituo hicho nchini Afrika Kusini na hivi ndivyo ulivyotujibu:
“We were shooting the show yesterday with Diamond, and will be shooting again with him this afternoon. Basically it’s a 22 minute show following Diamond around while he’s in South Africa. The show will be released on air in October on MTV Base.”
Diamond naye ametoa shukrani zake kwa
mashabiki na watu wake wa karibu waliofanikisha kutajwa kuwania
vipengele vinne kwenye tuzo za Channel O.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment