Home
»
KITAIFA
» Mauaji yafanyika kanisani huko Mombasa.
Leo hii
jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi
wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko
Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.Mashuhuda wa tukio hilo
wanasema baada ya watu hao kutekeleza tukio hilo walikimbia kwa miguu
kuelekea pasipo julikana.Afisa wa polisi wa eneo hilo amesema hadi sasa
wamefariki watu wawili na wengine kumi wamepata majeraha ya risasi
nakukimbizwa hospitali.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment