0


Shule
Kama wale wataalamu wa kitabu cha rekodi kubwa duniani cha Guiness wakiamua kuangalia upande huu, huyu atakuwa ni mtu wa kwanza duniani kusoma akiwa na umri mkubwa zaidi.
Anatokea Afrika Mashariki, Kenya jirani zetu, mwanamke huyo ana umri wa miaka 90 yuko ndani ya darasa la wanafunzi wa darasa la nne, ana muda wa miaka mitano tangu aanze kusoma, huenda akawa ndie mwanafunzi mzee zaidi Duniani anayesoma Shule ya msingi.
Priscilla Gogo Sitienei alijiunga na shule  ya Leaders Vision Preparatory School miaka mitano iliyopita , darasani ni mmoja ya wanafunzi ambao wamekuwa msaada mkubwa kwa wanafunzi wenzake ambao wana umri mdogo sawa na wajukuu zake.
_80454398_photo4_
_80460663_img_0205

Moja ya sababu zilizomfanya arudi darasani ni kutaka kujua kusoma Biblia, anawahamasisha na wazazi na watoto kusoma shule.
_80460669_img_0209
Kabla ya kurudi shule alikuwa mkunga kwa miaka 65 iliyopita kijiji cha Ndalat, Kenya.
download (1)

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X