

Catley
alinunua vest hiyo ya bulletproof, akaomba mtu wa kwanza aijaribu kama
inafanya kazi poa, mtu huyo akakaaa, jamaa akaivaa jioni yake akaingia
nayo Club wakajienjoy na rafiki zake, baada ya kulewa akawa anawaomba
washkaji zake kadhaa ili aijaribu vest hiyo kama inafanya kazi, wapo
waliokataa lakini rafiki yake ambaye ni Philip Harper alikubali kujaribiwa.
Bulletproof hiyo haikuzuia chochote, Cartley
alimpiga rafiki yake huyo na kumjeruhi vibaya, akakimbizwa hospitali
lakini alifariki na mahakama ikamhukumu kifungo cha miaka saba jela kwa
kosa hilo.
Hivi mfano inakuwa ndio wewe unaweza kukubali kujaribiwa kwenye hii kweli? Unaweza kushare chochote kwa kucomment mtu wangu.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment