SHEBBY D BLOG
![]() |
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Yahya Khamis Hamad akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. |
![]() |
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kiapo baada ya kumuapisha Katibu bunge Bw. Yahya Khamis Hamad (mbele aliyesimama) |
![]() |
Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw. Yahya Khamis Hamad akipokea vitabu vya muongozo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. |
![]() |
Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Thomas Kashilila akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. |
![]() |
Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Thomas Kashilila akisaini Kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kiapo baada ya kumuapisha Naibu Katibu bunge Maalum la Katiba Bw. Thomas Kashilila (aliyesimama) |
![]() |
Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Bw, Thomas Kashilila akipokea vitabu ya muongozo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Leo Mjini Dodoma. |
![]() |
||||
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwaeleza jambo Waziri Mkuu
Mizengo Pinda(kulia kwa Rais) akifuatiwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum
la Katiba Samwel Sitta, Prof. Mark Mwandosya na Mwisho Pindi Chana.
|
![]() |
Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimweleza jambo Naibu Waziri Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Juma Nkamia wakati wa Hafla ya
Kuapishwa kwa Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Leo Mjini
Dodoma.
(PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO)
|
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment