0


MSANII huyu mkazi wa lindi chipukizi katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya kwakweli sura yake ni ngeni machoni mwa watu ila sauti yake imevuma sana masikioni mwa watu kupitia kibao chake cha my number one Rimix.
MAHOJIANO

Hivi karibuni akizungumza na masainyotambofu.com alifunguka kama ifuatavyo: Kaka mimi sina Bifu na Diamond Platnumz na wala sijawahi kukutana nae kwa kifupi hatufahamiani, Rimix ya My Number One nilioimba mimi ina maneno flani ambayo mtu akisikiliza kwa haraka anaweza kuhisi labda mimi namchukia Diamond lakini la hasha, Kila nilichokiimba humo nilikisikia kwenye baadhi ya Intervew alizofanya Daina na Babalevo kuhusu kudhulumiwa wimbo na
Diamond, Mimi kama msanii nikaumiza kichwa nikatengeneza mashairi nikaingia Studio nikafanya yangu.

KUSUDIO

Cha kushangaza mimi nilifanya ngoma hio kama masira na sikuipeleka kwe media yeyote niliwarushia washkaji kwenye simu tu lakini kwa mda mchache ilisambaa kila kona..! Matokeo yake nikajikuta sauti yangu inavuma lakini sitambuliki kama mimi ndio niliomba wimbo huo, Nikaamua kutoka nyumbani lindi kuja Dar Es Salaam kuhangaikia Video maana kuna baadhi ya watu wamediriki hata kuufanyia shuting wimbo huo hatimaye kufanya Show kama wamiliki wa wimbo huo, Kosa langu kutokufanya Video mapema. Wimbo My Number One Rimix nimerecodia BM RECORD'S Mbagala Kizuiani Jijini Dar Es Salaam. Alisema 'Balo Balo'

Bazil Augustino 'Balo Balo'

KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X