Msanii asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewatemea cheche wanaomnyemelea mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Amani, akiwataka waache mara moja kwani akiwagundua atawatembezea kichapo.
Aunty Lulu.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Aunty Lulu aliweka ‘pleini’ kuwa ameshatonywa baadhi ya majina ya wanawake japokuwa hana uhakika kama ni kweli wanamnyemelea mumewe mtarajiwa ambapo akithibitisha kitachofuata ni mkong’oto kwani timbwili analiweza.
“Nampenda sana Amani, anachonipa hakuna anayeweza kunipatia, nimetulia, ameshanitambulisha kwa wazazi wake, ole wake nimnase mtu, atanieleza,” alisema Lulu.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment