0

Mafunzo! Mafunzo!
Tutajirike Sote

Kampuni ya Padlock Limited ya Jijini Dar es Salaam inayotoa mafunzo ya ujasiriamali nchini chini ya timu mahiri yenye ujuzi wa hali ya juu katika masuala ya ujasiriamali sasa inakuletea mafunzo ya siku tatu kwa wajasirialmali na wale wenye ndoto ya kua wajasiriamali.

UKUMBI: GREEN VIEW
ENEO:RUNZEWE
MUDA: Saa:9:00  Asubuhi mpaka saa:3:00  Alasiri.
SIKU:JUMATATU Tarehe: 17 Mwezi wa 3 Mwaka: 2014
           :JUMANNE Tarehe: 18 Mwezi wa 3 Mwaka: 2014
           :JUMATANO Tarehe: 19 Mwezi wa 3 Mwaka: 2014

NJOO UJIFUNZE KUTENGENEZA:
Sabuni ya Majivu ya Kuogea, Sabuni ya Majivu ya Kufulia, Sabuni ya Mche, Sabuni ya Magadi, Sabuni ya Maji, Sabuni ya Unga, Dawa ya Usafi, Dawa ya Kuondoa Madoa, Shampoo Isiyo na Virutubisho, Shampoo Yenye Virutubisho, Mishumaa, Chaki, Keki, Chilly Sauce, Tomato Sauce, Wine ya Ndizi, Wine ya Mananasi, Wine ya Maganda ya Mananasi, Crips za Ndizi, Crips za Viazi, Siagi ya Karanga (Pinat Bata)  na jinsi ya kupata malighafi kwa gharama nafuu.

NJOO UJIFUNZE  UFUGAJI WA KISASA WA:
Kuku, Ng’ombe bora wa maziwa, na Utengenezaji wa vyakula bora vya mifugo.

ADA KWA SIKU ZOTE TATU UTALIPIA SHILINGI ELFU SABA TU (TSH: 7,000)
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0768 341 309, 0683 200 691, 0719 959 908.

WAHI  KUJIANDIKISHA  KUWAHI KWAKO NDIO KUTAJIRIKA KWAKO



Usithubutu kukosa kwani huu ndio mwanzo wa mazuri yaliyo mbele yako.
NJOO! NJOO! NJOO!
“Tutajirike Sote”

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X