Akizungumza na Blog hii hivi karibuni, Baby Madaha ‘Queen of Swaga’ alisema kutokana na uhusiano wake na Joe kuelekea kwenye ndoa, mara nyingi amekuwa akila bata zake nchini Kenya ambako ndiko mchumba wake huyo anakotokea.
![]() |
Baby Madaha katika pozi.
“Mimi sijui kwamba ni mume wa mtu kwani sijawahi kumuona huyo
mwanamke ila ninachokijua Joe ana mtoto na hajafunga ndoa na aliyezaa
naye tena wanaishi nchi tofauti kwa hiyo sioni shida kuwa naye na
mipango ya ndoa ipo,” alisema msanii huyo.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment