Mwandishi wetu: Kwani kwa sasa si una mpenzi? Lulu: Ndiyo ila bado sijapanga swala la kufunga naye ndoa. Mwandishi: Kwa hiyo umesema ukipata mimba kwa bahati mbaya hutofanya misteki lazima uzae, unaweza kuniambia ni misteki gani? Lulu:
Nadhani
maswali yako uliyoniuliza nimekujibu kiufasaha kabisa hilo siwezi
kulijibu. Blog hii inahisi kosa ambalo Lulu hatalirudia tena ni la kutoa
mimba, kitu ambacho hataki kukizungumzia.

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment