Mopao Mokonzi alipata ajali jana (21 june) akiwa ndani ya Hummer la nguvu akienda kupiga concert huko sehemu za Mbanza Ngungu @René, Congo. Ila yupo salama
Gari inavyoonekana kabla ya ajali.
Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa nguli huyo wa miondoko ya kicongo.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment