Katika hali yakushangaza , mbunge wa
mbeya mjini kwa tiketi ya CHADEMA, mh. SUGU ameporomosha tusi
zito kwa waziri mkuu wa tanzania ( mh. PINDA ) akidai kuwa Tanzania haijawahi kuwa na waziri mkuu
mpumbavu kama yeye.....
Tusi la Sugu limekuja baada ya
waziri mkuu kuwaruhusu rasimi polisi kutumia nguvu ya ziada
kuwadhibiti wananchi kwa kuwashushia kichapo ili wazitii
sheria.....
Hili ndo tusi la mbuge wa mbeya
kwa waziri mkuu...
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment