|
Picha hizi mbili zikimuonesha Msanii Diamond
Platnumz akiwa
nchini comoro akibalizi mandhari ya nchini humo..Picha
hii Diamond amepost kupitia mtandao wake
wa Instagram na chini
aliandikia maneno
haya ''Breezin' by the pool side before Hittin' the Stage
tonight in
Comoro''
Picha Nyingine alipost kupitia tena mtandao wake wa
Instagram
kupitia account yake inayoenda kwa jina
la Diamond Platnumz akiwa na
Dancers wake wakonekana
wakiwa kwenye bwawa la maji la kuogelea
kwenye
hotel waliyofikia inayoenda kwa Jina la Retaj Moroni
Hotel
|
|
Picha hii akiwa na silaha za maangamizi
stejini kutoka kushoto
ni Dumi Utamu,Diamond Platnumz,Rama Tonser
&Emma
Platnumz.....kwa mbali unaona nini mtu mzima Platnumz kashika
nini...hahaha
ushajua sio kitu cha kuuliza...
|
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment