Msanii
wa Mziki na Filamu hapa Bongo, Baby Madaha aka queen of swaggz ampata
mwanaume maarufu na kuanza kufanyiwa mambo makubwa ambayo hakutegemea
kufanyiwaPamoja na hayo kutakuwa na show mbalimbali zitakazotolewa, kutakuwa na designer alioshirikiana nao katika kubuni mavazi ambayo yataonyeshwa siku ya show yake.
“Yeah nimempata mtu maarufu na ni mtanzania (the famous and also is the symbol of Nation) ila sitaweza kumtaja jina hadi pale muda utapofika kila mtu atamjua”
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment