
Habari kutoka bungeni ni kwamba matokeo yote ya kidato cha nne yamefutwa na yatasahihishwa upya haraka iwezekanavyo..
Taarifa ya tume iliyoundwa
na waziri mkuu
kuchunguza sababu za kufeli vibaya kwa watahiniwa wa kidato cha nne
imesomwa bungeni leo na mh.LUKUVI.
LUKUVI amesema sababu
zilizosababisha wanafunzi wafeli ni upungufu wa
waalimu, mazingira magumu a kufundishia, idadi kubwa ya shule za
sekondari iliyopelekea idadi kubwa ya watahiniwa na utaratibu mbovu wa
baraza la mitihani uliotumika bila kuwashirikisha wadau wa elimu
Mh.
LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi
kwa kufuata STANDARDIZATIONS na CONTINOUS ASSESSMENTS. ...
Hivyo basi, matokeo hayo YAMEFUTWA na YATASAHIHISHWA UPYA
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment