 |
| Baadhi ya wapenda soka wa mji wa Runzewe wakiangalia mechi na viongozi wao wakiwemo afande Jack na mzee Butiku. |
 |
| Hivi ndivyo uwanja ulizungushiwa |
 |
| Hii ni sehemu ya nje iliwekewa nyasi hapa kweli mtu atashindwa kupita? |
Picha na Ally Shabani wa Runzewe
Wakazi mji wa Runzewe wasema tunapenda sana burudani lakini uwanja wetu unatukatisha sana tamaa kwani hauko sawa kama viwanja vinavyotakiwa kuwa. Wameiomba serikali kufanyia mchakato suara hili.Vile imeomba kama serikali imeshindwa basi watangaze apatikane mwekezaji ajenge uwanja vizuri na wampe muda akimaliza muda wake awakabizi uwanja wao ukiwa safi. Baadhi ya waandaaji wa burudani wamelalamikia sana uwanja huo kwani wanatozwa fedha kwa ajili ya kukodi uwanja lakini mapato yanakuwa madogo kutokana baadhi watu wengine kuingia bure kwani uwanja umezungushiwa nyasi na hata wakiweka walinzi bado haisaidii kwani wanalazimika kuwalipa nao.Wanamuomba sana Diwani wao alifanyie utafiti suala hilo
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment