Mwigizaji na mwanamuziki wa muziki wa
kizazi kipya Zena Mohamed,
maarufu kwa jina la shilole amedai kuwa
anaweza kufanya ujinga wowote humu
duniani lakini linapokuja suala la mapenzi kamwe hawezi kwenda pekupeku (
bila condom ) ....
Akiongea kwa kujiamini ,Shilole
alisema kuwa hata mtu awe vipi, au awe wa dini gani au
awe na pesa kiasi gani kamwe hawezi kumvulia nguo kama hana kondom
mkononi.....
Msanii huyo alienda mbali zaidi na
kuzilaani kauli za baadhi ya watu zinazosema eti ukitumia
"CONDOM" ladha ya mapenzi inapungua.Yeye anadai kuwa ni mdau wa
"GEMU" hilo na huwa anatumia NDOM kama kawa na hufurahia kama
kawaida...
Bongomovie

Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment