REMBO aliyewahi kushika Taji la Miss Tanzania, Faraja Kota na mumewe
Mheshimiwa Lazaro Nyarandu wamefananishwa na Rais wa Marekani, Barak
Obama na mkewe Michelle Obama kutokana na muonekano wao
Hivi karibuni mtandao wa 8020 fashion, ulitupia picha
za Faraja na mumewe wakiwa wameongozana kwenye hafla ya uzinduzi wa
mtandao wa www.shlendrect.co.tz
ambapo wawili hao walionekana wakishikana mikono kama wafanyavyo Obama
na mkewe.
Kupitia mtandao huo, watu walitupia maoni na kusema
kuwa wanandoa hao maarufu wanapaswa kuigwa na watu maarufu wote kwani
wamewafananisha na Rais Obama na mkewe ambao wana heshima kubwa katika
jamii.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment