Home
»
ENTERTAINMENT
» DIAMOND AFANANISHWA NA MWANAUME MSHAMBA, LIMBUKENI NA ALIYEKURUPUKIA MAPENZI UKUBWANI
KAMA USHAMBA NI SOMO BASI MFANO NI HUU
HAPA!!!.
USHAMBA. Binafsi namshabikia sana huyu Msanii but I cant take it
anymore!, Awali ya yote tuelewe kwamba kumdhalilisha mwanamke yeyote na
kwa namna yoyote ni sawa na kumdhalilisha mama yako mzazi!,
Mambo
ya kuanza kurekodiana kwenye maongezi yaliyo private na kuyasambaza
binafsi naona ni kuvuka mipaka na Ushamba uliopitiliza,
DIAMOND unaimba nyimbo nzuri za mapenzi
lakini sasa una-prove Ushamba
juu ya Mapenzi yenyewe,kifupi hakuna mtu anayekulazimisha uwe
na mrembo
gani kimapenzi kwani wewe ni mtu mzima maliza wanawake wote duniani
ikiwezekana tembea mpaka na Mamba wa kwenye Mabwawa,hiyo ni hiari yako,
ila unapopeleka hewani sauti ya maongezi private na wema aidha kwa
kutafuta kuongeza umaarufu,this is rubbish!!!,
Kwa
haraka haraka
ukimsoma diamond unagundua kuwa ni wale wanaume ambao hawakuwahi
kubahatika kupendwa na wanawake wazuri,sasa
wanapokuja kushika pesa au
umaarufu ndio inakuwa siraha yao ku prove kwenye jamii kwamba hata nao
wanaweza.
Yaani Diamond kushobokewa na madem
wazuri kwake ni kama ngekewa ndiomaana anaingia kichwa kichwa.
PENNY usisahau kwamba huyu wema
alikuwa rafiki yako na ukamchukulia
Bwana,tena bwana mwenyewe ni huyu mtoto wa
kiswazi ambaye Mapenzi
yanampeleka puta!,anayedhihirisha ulimbukeni wake kwenye jamii.
Leo
kwa ushirikiano wako na Diamond umemuanika msichana mwenzako
kumdhalilisha,ok tia maji kichwa chako hii ni Bongo soon utanyolewa
na
tutaandika hapa hapa.
WEMA, Sasa ukae chini ujifunze
kwamba
mitoto ya Kiswazi mingi milimbukeni,wewe ni
binadamu na hujakamilika
basi jaribu kujikamilisha kwa kupunguza makosa,sina maana ya kwamba
nakutetea wewe bali binafsi sipendezwi na KUDHALILISHWA KWA MWANAMKE
YEYOTE!
KIOO CHA JAMII : Hapa hakuna kioo,ni heri
kuzamisha
sura kwenye tundu la choo ukiamini kwamba utaiona taswira yako kuliko
kuwapa dhamana wasanii malimbukeni.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment