Kuonyesha
kwamba yuko fiti ana anastahili kupewa ridhaa ya kuiongoza Tanzania
katika awamu ya kipindi cha tano,Dkt John Pombe Magufuli aliwashangaza
wananchi wa mji huo kwa kupiga push up zaidi ya tano jukwaani,mbele ya
wakazi wa mji huo ambao walishangilia na kupiga mayowe kila kona ya
Uwanja.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika
viwanja vya Kayanga,Karagwe mjini kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment