![]() |
Shebby D blog ni blog yako ambayo inathamini mawazo ya walio wengi, na sasa tumehaidi kukurudishia tena ile safu inayopendwa na watu.Safu hii ni wachumba na marafiki hivyo basi kuanzia wiki ijayo tutakuwa hewani .Tunayo maombi ya watu wengi sana lakini bado hatujachoka kupokea maombi yenu hivyo basi tutumie maombi yako kupitia namba yetu ile ile ya 0752520417, na kama utahitaji kutuma picha usisite tutumie kwenye mtandao wa WhasApp kwa namba hiyo hiyo asanten sana. Wiki ijayo wanaotafuta wachumba fungueni hapa www.shebbyd.blogspot.com utapata mchumba.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment