Tuzo za CAF: Red Carpet, utoaji wa Tuzo, show za akina Fally Ipupa, Diamond Platnumz, P Square hapa (Pichaz)
Usiku wa January 8, ilikuwa ni siku
ambayo Shirikisho la Soka Afrika, CAF walitoa Tuzo kwa Wachezaji
Bora wa Afrika waliofanya vizuri kwa mwaka 2014.
Hapa nimekuwekea Pichaz za Redcarpet za baadhi ya mastar waliohudhuria sherehe hizo pamoja na matukio mbalimbali ikiwemo show ya P Square, Diamond Platnumz, Flavour na Fally Ipupa.
Msanii Lynxxx wa Nigeria.
Muigizaji wa Nolywood, Van Vicker.
Muigizaji wa Noloywood, Richard Mofe-Damijo
Mchezaji Jay Jay Okocha.
Golikipa Vincent Enyeama, huyu alikuwa akiwania pia tuzo hiyo.
Msanii 2 Face Idibia.
Asisat Oshoala, mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Nigeria.
Mchezaji Yaya Toure akiongea baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo.
Diamond Platnumz akifanya show.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment