Mabibi na Mabwana, Madee ametuletea hii single yake mpya


.
Muimbaji wa Tip Top Connection, Madee time hii amekuletea hii single mpya aliyomshirikisha Dj Maphorisa kutoka kundi la Uhuru Afrika Kusini.
Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Madee na Dj Maphorisa wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu.
Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja…. >>>> HAPA

Comments