Love
ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea kujidhihirisha
ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone amekuwa
moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha love kubwa kwa kutoa
support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya Jumba la Big Brother Africa na kufanikiwa kuingia fainali pamoja na washiriki wengine 7 ambapo inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa wanane tu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania. The Victory Belongs to East Africa!!!! Let’s VOTE #BBA HOTSHOTS Legoooo…“– @jchameleone
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment