Diamond Platnumz ametua Kampala jijini Uganda tayari kwaajili ya
kutumbuiza Alhamis hii kwenye show ya Zari All White Ciroc Party
jijini humo. Diamond alipokelewa kwenye uwanja wa ndege na mpenzi wake
Zari Ttale aka The Bosslady.

Zari baada ya kumpokea Diamond

Wawili hao wamekutana kwa mara nyingine baada ya hivi karibuni kuwa pamoja kwenye tuzo za Channel O.
Zari baada ya kumpokea Diamond
Wawili hao wamekutana kwa mara nyingine baada ya hivi karibuni kuwa pamoja kwenye tuzo za Channel O.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment