
.
Mwakilisha kutokea Tanzania ambaye pia ni mshindi wa shindano la Big
Brother Africa 2014,Idris Sultan leo Des 10 amepata mapokezi ya aina
yake kutoka kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki wa shindano hilo
alipowasili katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment