Skip to main content
WEMA SEPETU KWA CHAMELEONE DIAMOND PLATINUM KWA ZARI THE BOSSLADY NDANI YA UGANDA TAR 18.
Katika
hali ya sintofahamu kwa mahusiano ya mastaa wakubwa wawili wanaopendwa
sana na vijana,Wema Sepetu na Diamond ikiendelea wamewachanganya zaidi
pale walipoamua kupromote show za mahasimu wawili wa Uganda,Wema akiwa
kwa Dr. Jose na Diamond akiwa kwa the bosslady Zari,show ambazo
zitapigwa tarehe moja lakini kumbi tofauti,ni kati ya show za gharama
kuwahi kufanyika Uganda.Mbali na kua show za gharama Dr Jose na Zari ni
mafahali wawili nchini humo hivyo siku hiyo watu wanasubiri waone ni
wapi kutabamba sana,iliwahi kutokea hapa kwetu ambapo mwana FA alifanya
show ya kuzindua album tarehe sawa na Lady Jaydee ambapo inasemekana
Lady Jaydee alikamata mashabiki wengi kuliko mwana FA,lets wait tuone
mwisho wa hizi D
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment