Kama
macho yako hayakosi Magazeti ya kila siku au kusoma mitandao mbalimbali
ni lazima utakua umekutana na stori kwamba Wema Sepetu na Diamond
Platnumz wameachana.Diamond Platnumz alihojiwa kwenye XXL ya CloudsFM
November 21 2014 lakini hakuweka wazi kabisa nini kinaendelea lakini
maelezo yake yanaweza yakawa na ishara ya jibu linakoelekea.
Moja
kati ya alivyovisema ni kwamba hata yeye alishangaa kuhusu ile zawadi ya
gari aina ya BMW aliyozawadiwa Wema kwenye birthday yake huku meneja
wake Martin akikaririwa na vyombo vya habari kwamba ni marafiki
walijichanga kumnunulia Wema.
Baada ya
hayo kuna baadhi ya stori zimekua zikitambaa kwamba Martin Kadinda ndio
amehusika kuwaachanisha Diamond na Wema Sepetu ambapo aliamua kujibu kwa
kuandika hivi kwenye instagram >>> ‘Siwezagi
kujibizana.. Ila i gat people who can do that…. Namleta kwenu bingwa wa
kutusi watu… Mimi nimemwachanisha wema na chibu ahahahahahaa
ahahhahahaha ahahahahaha walaaahi naona raha.. We Nasri that powerful
couple ambayo haijawahi kutokea tz na haitakuja kutokea iachanishwe na
mimi fundi makoti?? Team kadinda mpeni what he deserve…..’
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment