Staa
wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ya
nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D
mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz.
Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya Usiku wa Diamond Platnumz.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na burudani kutoka kwa Diamond.
...Diamond akisema na mashabiki wake ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment