Rais
Kikwete amesema hayo mjini Dodoma wakati alipokuwa akikabidhiwa
katiba iliyopendekezwa na wajumbe wa bunge maalum la katiba mara baada
ya kumalizika kwa vikao vya bunge hilo maalum la katiba.
Kwa upande wake Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamedi Shein amesifu namna Zanzibar ilivyoshirikishwa ipasavyo katika kila hatua ya mchakato huo na kusema kwamba sasa wana jukumu la kuweka utaratibu maalum ili waweze kuipigia kura katiba hiyo inayopendekezwa.
Kwa upande wake aliekuwa Mwenyekiti wa Maandishi, Andrew Chenge alisema katiba hiyo imejali maslahi ya wote na imetokana na rasimu ya pili ya katiba iliyowasilshwa katika bunge maalumu la katiba ili kujadiliwa na kuiboresha.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment