Mwakilishi wa wasanii katika Bunge Maalum la Katiba (BMK), Paul
Mtenda juzikati alinusurika kifo baada ya gari lake kugongana uso kwa
uso na lingine katika eneo la Dumila mkoani Morogoro wakati akirejea
jijini Dar es Salaam kutoka Dodoma.
Muonekano wa gari hilo baada ya ajali. Kutokana na kunusurika huko,
Paul alisema alilazimika kufanya maombi maalum kwa ajili ya kumshukuru
Mungu kwa kumuepusha na kifo, licha ya gari lake kuharibika vibaya.


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment