Mama akimuaga marehemu mwanaye, Method Clecence Mengi.
MAMIA ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro wakiongozwa na Askofu wa
Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude wamejitokeza
kumzika marehemu Method Clecence Mengi aliyeuawa kwa kuchomwa visu na
watu wasiofahamika nchini Marekani.
Mengi alikumbwa na ukatili huo wa kuchomwa visu vitatu, tumboni
viwili na kwenye paji la uso Septemba 17, mwaka huu nje ya nyumba yake,
Texas nchini humo na watu hao bila kujulikana kisa na waliingia mitini
baada ya tukio hilo la kikatili.
Mwili wa Mengi aliyeishi nchini Marekani tangu mwaka 2000, uliwasili
nyumbani kwa wazazi wake, alfajiri ya Oktoba 2, mwaka huu na baadaye saa
tisa alasiri kupelekwa kwenye Kanisa la Mtakatifu Patrick kwa ibada ya
mazishi yaliyohudhuriwa na umati mkubwa wa watu.
Akizungumza baada ya mazishi hayo, mdogo wa marehemu Ribbon Mkali ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilakala alisema:
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment