Diamond
Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika
kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria.
Nasib
Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best
African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika
kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment