Tasnia ya filamu nchini huenda ikawa na mengi yanayofanyika nyuma ya
pazia wakati wa majaribio ya kutafuta shots nzuri zenye uhalisia hasa
kwenye scene za mapenzi!
Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video hii inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa kiss za uweli.
Je, uhalisia huu kwenye filamu za Bongo unakubalika kimaadili? Bila
shaka haukubaliki hapa kwetu Tanzania. Bado hatuko huko Hollywood na
naamini kipande hicho kitatolewa.
Lakini napata kigugumizi kikali kwa kile kilichoonekana kwenye video hii inayoaminika kuwa ni kipande cha filamu mpya inayotarajia kutoka iliyowakutanisha Rich na Irene Uwoya ambao wanaonekana wakibadilishana mate kwa kiss za uweli.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment